Katibu wa zamani Yanga afariki dunia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Dec 2017
Katibu wa zamani Yanga afariki dunia
Aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) enzi za FAT (Chama cha Soka Tanzania), Mohammed Misanga amefariki dunia leo akiwa ana umri wa miaka 72

Misanga, Mbunge wa zamani wa jimbo la Singida Kusini (CCM), amefariki dunia katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.

Misanga aliyezaliwa Macchi 15, mwaka 1945 amekuwa Mbunge wa Singida Kusini tangu mwaka 2010 na awali mbali ya kuwa kiongozi wa FAT alikuwa pia Katibu wa Yanga SC.

Misanga alikuwa Katibu mkuu wa Yanga wakati inaingia kwenye mgogoro mkubwa wa kihistoria mwaka 1976 uliosababisha klabu kukatika vipande na baadaye kuzaliwa Pan Africa.

Na Misanga ndiye aliyetangaza kufukuza kwa wachezaji waandamizi wote wakiwemo akina Leodegar Tenga, Omar Kapera, Juma Pondamali, Mohamed Γ’β‚¬ΛœAdolfÒ€ℒ Rishard na wengineo.

Mungu aipumzishe kwa amani roho ya marehemu. Amin.

Kwa hisani ya Bin Zubeiry
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’