Vijana wako mzigoni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jan 2021
Vijana wako mzigoni

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinajifua kujiandaa na fainali za michuano ya CHAN zitakazofanyika nchini Cameroon kuanzia Januari 16

Keshokutwa Jumapili, Stars itacheza mechi ya kujipima nguvu dhidi ya DR Congo mchezo ukitarajiwa kupigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Aidha mchezo huo utatumika kumuaga beki mkongwe Aggrey Morris aliyetangaza kustaafu kuitumikia timu ya Taifa

Deus Kaseke, Feisal Salum na Ditram Nchimbi ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga waliojumuishwa katika kikosi cha Stars kinachojiwinda na michuano hiyo

Wengine ni Farid Mussa, Yassin Mustafa na Bakari Nondo Mwamnyeto

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’