Nahodha Msaidizi wa Yanga Thabani Kamusoko anaendelea na matibabu na huenda akarejea dimbani mapema zaidi.
Kamusoko hajavaa uzi wa Yanga kwa zaidi ya miezi miwili lakini sasa upo uwezekano akaonekana dimbani kabla ya kukamilika kwa mzunguuko wa kwanza.
Madaktari wanaomtibu kiungo huyo wameuhakikishia uongozi wa Yanga kuwa Kamusoko atapona kabisa majeraha yake.
Yanga imekabiliwa na majeruhi kwa wachezaji wake waandamizi Amissi Tambwe, Donald Ngoma na Kamusoko.
Tambwe tayari ameanza mazoezi huku Ngoma aliyerejea hivi karibuni akisubiri mwafaka juu ya hatma yake ndani ya kikosi cha Yanga.
Hata hivyo upo uwezekano mkubwa Ngoma ataendelea kubaki Jangwani.
Tambwe alipewa ruhusa ya kwenda kushughulikia matatizo ya kifamilia nchini Burundi na sasa anatarajiwa kesho

ADVERTISE HERE