Haruna Niyonzima ambaye alikuwa nahodha wa kikosi cha Yanga leo kwenye mchezo wa nusu fainali kombe la Mapinduzi dhidi ya Azam Fc, amechaguliwa kuwa nyota wa mchezo
Niyonzima amekabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh laki tano ikiwa zawadi baada ya kushinda tuzo hiyo
Niyonzima alikuwa bora katika mchezo huo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1, Yanga kushinda kwa changamoto ya mikwaju ya penati
Shikhalo alikuwa shujaa wa Yanga kwenye mikwaju ya penati
ADVERTISE HERE