Vijana wako tayari kuchinja mnyama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jan 2021
Vijana wako tayari kuchinja mnyama

Kikosi cha Yanga jioni ya leo kilikamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi dhidi ya Simba

Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar

Baada ya mazoezi ya mwisho kocha mkuu wa Yanga Cedric Kaze amesema wanafahamu mchezo dhidi ya Simba hautakuwa mwepesi lakini wamejiandaa kushinda ubingwa wa Mapinduzi kwa kuibuka na ushindi dhidi ya watani zao hao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’