Mashabiki mapemaaa uwanja wa Amaan

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jan 2021
Mashabiki mapemaaa uwanja wa Amaan

Shamrashamra za mchezo wa fainali michuano ya kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar zilianza mapema sana leo

Masaa manne kuelekea mchezo huo unaowakutanisha watani wa jadi Yanga na Simba, tayari uwanja wa Amaan 'umependeza'

Mpaka kufikia saa sita mchana, tiketi zote 12,000 zilikuwa zimeuzwa mashabiki wengi watalazimika kurejea majumbani kwao ili kuushuhudia mchezo huo kupitia runinga

Katika uwanja wa Amaan mashabiki wa timu zote wanakaa jukwaa moja, tofauti na ilivyo kule Bara pale uwanja wa Benjamin Mkapa mashabiki wa Yanga na Simba wana majukwaa yao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
15h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’