Shughuli imemalizika uwanja wa Amaan Yanga wakiibuka mabingwa wa michuano ya kombe la Mapinduzi kwa ushindi wa mikwaju ya penati 4-3 dhidi ya Simba baada ya mchezo kumalizika kwa suluhu ya bila kufungana
Ulikuwa ni mchezo ambao Yanga wangeweza kuumaliza kwenye dakika 90 za kawaida wakikosa nafasi nyingi za wazi
Tusherehekee ushindi kwanza....!
ADVERTISE HERE