Senzo ameanza kuhesabu mataji Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jan 2021
Senzo ameanza kuhesabu mataji Yanga

Mshauri wa Yanga Senzo Mazingisa ameeleza furaha yake baada ya kuishuhudia Yanga ikishinda taji la kwanza katika michuano ya kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar

Senzo amewapongeza wachezaji, benchi la ufundi, viongozi na mashabiki kwa mwanzo huu wenye ishara ya mafanikio kwa Yanga msimu huu

"Naipongeza timu ya Yanga kuanzia wachezaji, benchi la ufundi, viongozi bila ya kuwasahau mashabiki pamoja na wadhamini wetu kwa mafanikio haya"

"Huu ni wakati mzuri sana kwa mimi kuwa mwanafamilia wa klabu ya Yanga. Hili ni taji langu la kwanza na bila shaka mataji mengine mengi yanakuja," alisema Senzo

Senzo aliyewahi kuwa mtendaji wa klabu ya Simba, alikuwa miongoni mwa viongozi waandamizi wa Yanga na GSM walioshuhudia mchezo wa fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi dhidi ya Simba uliopigwa uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar jana Yanga ikisepa na ubingwa baada ya kushinda kwa penati 4-3 kufuatia matokeo ya suluhu ya bila kufungana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’