Yanga imekamilisha usajili wa mshambuliaji Fiston Abdulrazak aliyekuwa akiitumikia ENPPI ya Misri
Mwamba huyo raia wa Burundi ametambulishwa rasmi ndani ya viunga vya Jangwani
Karibu kwa Wananchi Fiston....!
ADVERTISE HERE