Jana tukio kubwa lililotikisa jiji la Dar es salaam ni mapokezi ya kikosi cha Yanga kilichowasili kutoka visiwani Zanzibar ambao walifanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi
Wachezaji, benchi la ufundi, viongozi, wanachama na mashabiki walipata wasaa wa kufurahi pamoja na kuweka mikakati ya kumaliza msimu na mataji zaidi






ADVERTISE HERE