Job aitaka jezi ya Yondani Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jan 2021
Job aitaka jezi ya Yondani Yanga

Mkongwe Kelvin Yondani ameondoka Yanga huku akiacha jezi yake namba tano ikikosa mtu wa kuivaa

Hii ni jezi yenye historia kubwa ndani ya kikosi cha Yanga

Ni sawa na jezi namba 23 iliyokuwa ikitumiwa na Nadir Haroub 'Cannavaro' ambayo yeye mwenyewe alimkabidhi Abdallah Shaibu 'Ninja' akiamini beki huyo chipukizi anaweza kufuata nyayo zake

Sasa beki mpya wa Yanga Dickson Job amesema ataitumia jezi namba tano katika kikosi cha Yanga akiamini ataitendea haki

Job amemtaja Yondani kama mlinzi wake bora aliyeanza kumfuatilia tangu akiwa mdogo

Wakati yuko Mtibwa Sugar, Job alikuwa akitumia jezi namba tano pia

Job amesajiliwa na Yanga katika usajili wa dirisha dogo likiwa ni pendekezo la kocha Cedric Kaze kuimarisha safu yake ya ulinzi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
43m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’