Wameisikia hii? huko CAS hakuna upendeleo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
30 Jan 2021
Wameisikia hii? huko CAS hakuna upendeleo

Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa masuala ya michezo Duniani (CAS), imetengua adhabu ya Raisi wa shirikisho la soka barani Afrika CAF Ahmad Ahmad aliyefungiwa kujihusisha na soka na FIFA kutokana na tuhuma mbali mbali zilizokuwa zinamkabili.

Pia Mahakama hiyo imeamuru Ahmad Ahmad kuendelea na majukumu yake mpaka pale uchaguzi wa shirikisho hilo utakapofanyika mwezi wa tatu mwaka huu nchini Morocco

Wapo waliokuwa wakiibeza Yanga wakidai kuwa kulipeleka suala la mchezaji Bernard Morrison (CAS) ni kupoteza muda kwani Mahakama hiyo haina uwezo wa kubatilisha maamuzi yaliyoamuliwa awali

Wasichofahamu hii ni Mahakama ya juu zaidi inayosimamia masualal ya michezo na inayo mamlaka ya kutengua hukumu yoyote ambayo watajiridhisha kuwa haikuwa ya haki

Hapa wametengua hukumu iliyotolewa na FIFA, halafu mtu anakwambia hawawezi kutengua hukumu ya Kamati ya TFF....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE →
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →