Kuelekea tukio kubwa na la Wananchi Media Day ambalo linafanyika kesho Jumanne kwa mara ya kwanza ndani ya ardhi ya Tanzania, kikosi cha Yanga leo kimeendelea na maandalizi yake katika viunga vya Avic Town, Kigamboni
Miongoni mwa matukio ambayo wanahabari watapata fursa, ni kushuhudia 'mbashara' mazoezi ya kikosi cha Yanga siku ya kesho






ADVERTISE HERE