Yanga imesajili wachezaji wawili - Ten

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2017
Yanga imesajili wachezaji wawili - Ten
Wakati dirisha la usajili likitarajiwa kufungwa kesho Ijumaa saa sita usiku, Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema hakuna mchezaji mpya aliyesajiliwa baada ya kukamilika kwa usajili wa wachezaji wawili, Fiston Kayembe na Yohana Mkomola.

Mpaka sasa Yanga imetangaza kusajili wachezaji hao wawili. Hata hivyo Ten amesema Kamati ya usajili inayoongozwa na Hussein Nyika bado inaendelea kufanya majukumu yake

Ten amesema jambo lolote linaweza kutokea katika kipindi cha masaa 24.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’