Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam na moja kwa moja kuingia kambini kujiandaa na mchezo wa ligi kuu unaofuata dhidi ya Kagera Sugar
Mchezo dhidi ya Kagera Sugar utapigwa Jumatano ijayo katika uwanja wa Benjamin Mkapa


ADVERTISE HERE