Ntibazonkiza anasumbuliwa na uvimbe kwenye paja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Feb 2021
Ntibazonkiza anasumbuliwa na uvimbe kwenye paja

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza ataendelea kuwa nje kwa wiki kadhaa zaidi baada ya kubainika kuwa na uvimbe kwenye maungio ya paja na kiuno

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema mshambuliaji huyo anaendelea kupewa tiba maalum ya mionzi

Muda ambao ataendelea kukosekana ni wiki nne au zaidi kutegemea na uponaji wa majeraha hayo

Saido anaweza kukosa michezo mitano akianza na mchezo dhidi ya Kagera  Sugar February 17, dhidi ya Mtibwa Sugar February 20, dhidi ya Kengold Fc (ASFC) February 28, dhidi ya Coastal Union March 04 Ugenini, dhidi ya Polisi Tanzania March 07 ugenini

Hii sio habari nzuri sana kwa mashabiki wa Yanga ambao walitamani kumuona dimbani siku ya Jumatano wakati Yanga itakapoikabili Kagera Sugar

Lakini habari njema ni kurejea kikosini kwa mshambuliaji Yacouba Songne anayeweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Kagera Sugar

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’