Viingilio mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Feb 2021
Viingilio mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar

Kesho Jumamosi Wananchi wana jambo lao pale uwanja wa Benjamin Mkapa wakati watakaposhuka uwanjani kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Uongozi umeweka hadharani viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa moja kamili usiku ambapo Mzunguuko ni Tsh 5,000/-, VIP A ni Tsh 15,000/- na VIP B na C ni Tsh 10,000/-

Baada ya kulazimishwa matokeo ya sare katika michezo mitatu iliyopita, huu ni mchezo wa kufa au kupona kwa Yanga kuondoka na alama zote tatu

Lakini pia, mchezo huu utatumika kupima mwenendo wa waamuzi baada ya tamko lililotolewa na uongozi mapema leo

Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa umechoka kuonewa na maamuzi ambayo yameigharimu timu kukosa matokeo wanayostahili

Kama ni kushindwa basi timu ishindwe kihalali na kama ni kushinda basi pale inapostahili wapewe haki yao

Na kuwa hawatasita kuchukua maamuzi magumu kama wataendelea kuonewa katika michezo yao

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
1m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’