Kiungo Mukoko Tomombe ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya DR Congo kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu michuano ya Afcon 2022
Mukoko anaungana na nyota wengine nane wa Yanga walioitwa na timu za Taifa kwa ajili ya mechi hizo
Nyota wengine walioitwa ni pamoja na Saido Ntibazonkiza, Metacha Mnata, Dickson Job, Yassin Mustafa, Bakari Nondo Mwamnyeto, Feisal Salum, Farid Mussa, Ditram Nchimbi na Deus Kaseke
ADVERTISE HERE