Ni saa kumi jioni pale Shamba la Bibi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Feb 2021
Ni saa kumi jioni pale Shamba la Bibi

Wananchi wameaswa wajitokeze kwa wingi pale uwanja wa Uhuru (Shamba la Bibi) kuiunga mkono timu yao (Yanga) katika mchezo wa raundi ya nne michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Ken Gold Fc

Mchezo utapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni

Aidha, Antonio Nugaz amesema mashabiki watakaofika uwanjani, wanaweza kujipatia jezi origino za klabu hiyo kwa bei punguzo maalum kwa ajili ya leo

"Wanachama, wapenzi na Mashabiki na wadau wa Soka Naomba tujitokeze kwa wingi mnooo leo jioni saa 10 Kamili uwanja wa Uhuru kwenye mchezo wetu wa kombe la ASFC dhidi ya Ken Gold Sc, Kwa kiingilio cha mzunguko 5,000, V.I.P A & B 10,000"

"Jipatie jezi halisi Chapa GSM kwa bei ya Punguzo uwanjani na popote utatumiwa kwa kupiga simu Namba +255 69 232 8126"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’