Match Day : Yanga Princess vs Simba Queens

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Mar 2021
Match Day : Yanga Princess vs Simba Queens

Ligi Kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' inaendelea leo, mechi ya dabi ya kidada ikitarajiwa kupigwa katika uwanja wa Uhuru

Ni mchezo kati ya vinara wa ligi hiyo Yanga Princess dhidi ya watani zao ambao ni mabingwa watetezi,Simba Queens

Mchezo huu umevuta hisia za mashabiki wa soka, haishangazi kuona Azam Tv wametangaza kuurusha 'mbashara' kupitia Azam Sport 2

Yanga Princess wanaongoza ligi wakiwa wamejikusanyia alama 38 wakifuatiwa na Simba Queens wenye alama 36

Kinadada hao kutoka Jangwani wanahitaji ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wao wa kwanza wa ligi kuu ya Wanawake

Mchezo wa kwanza baina ya timu hizo uliopigwa Mo Simba Arena, ulimalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Timu hizi zote hazijapoteza mchezo msimu huu, Yanga Princess wakitoka sare michezo miwili na Simba Queens wakitoka sare mitatu

Mechi hii itaamua hatma ya ubingwa kwa kinadada hawa msimu huu

Ni saa kumi Alasiri pale uwanja wa Uhuru

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’