Kaze afutwa kazi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Mar 2021
Kaze afutwa kazi Yanga

Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kulivunja benchi lote la ufundi baada ya mfululizo wa matokeo mabaya

Taarifa iliyotolewa na Yanga imebainisha kuwa Kocha Mkuu Cedric Kaze, Kocha Msaidizi Nizar Khalfan, Kocha wa viungo Ederm Mortois, Kocha wa Makipa Vradmir Niyonkuru na Afisa Usalama wa klabu Messa Mahundi wote mikataba yao imesitishwa

Uongozi wa Yanga umewataka mashabiki kuwa watulivu wakati wakifanya jitihada za kupata benchi jipya la ufundi haraka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’