Ihefu

Leseni yamkwamisha Katwila Ihefu Fc

Joel JJ By Joel JJ
17 Feb 2023
Leseni yamkwamisha Katwila Ihefu Fc

Katibu Mkuu wa Ihefu, Zagalo Chalamila amesema uamuzi wa timu hiyo kumtangaza kocha mkongwe John Simkoko kuwa Kocha Mkuu umetokana na  kocha wao Zubery Katwila kukosa sifa za kukaa kwenye benchi

Zagalo amesema baada ya kuondoka kwa Juma Mwambusi walipewa nafasi ya Katwila kuongoza kati ya michezo minne hadi mitano, na baada ya hapo walitakiwa kutafuta kocha mwenye vigezo vinavyotakiwa.

"Wengi wanadhani Katwila hatumuamini, lakini wanashindwa kuelewa ana leseni 'B' na ili ukae katika benchi unatakiwa uwe na 'A' ya CAF, ndiyo maana unaona amerudi darasani kusoma," alisema

Zagalo alisema wana matumaini makubwa na ushirikiano uliopo baina ya Katwila na Simkoko huku akiweka wazi uzoefu wake utakuwa na manufaa makubwa katika kikosi chao ambacho kimekuwa na matokeo mazuri kwa sasa.

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
14m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
12h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →