Ruvu - Local

Ruvu Shooting hawajakata tamaa Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
8 May 2023
Ruvu Shooting hawajakata tamaa Ligi Kuu

Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting Mbwana Makata alisema hawajakata tamaa na wanaendelea na maandalizi ya michezo iliyosalia kabla ya msimu huu 2022/23 haujafikia tamati

Ruvu Shooting inaburuza mkia wa Ligi Kuu Tanzania bara ikiwa na alama 20, ikicheza michezo 27 hadi sasa

"Tutaendelea kujiweka sawa kwa michezo iliyobaki, niaamini wachezaji wangu watapambana hadi mwisho, tulipo sasa sio pazuri lakini hatujakata tamaa," alisema

Mara ya mwisho Ruvu Shooting ilishuka 2014/15 pamoja Polisi Tanzania iliyokuwa ikiburuza mkia kwa alama 25 huku Toto African na African Sports zikipanda Ligi Kuu

Ruvu Shooting ilirejea Ligi Kuu 20l6/17 sambamba na Mbao FC na kumaliza msimu ikiwa nafasi ya saba na alama 36 huku Mbao ikimaliza ya 12 kwa alama 33

Sasa wanaburuza mkia kwenye msimamo wa ligi wakiwa na alama 20 baada ya kucheza mechi 27

Mechi tatu zilizosalia wanahitaji kushinda zote na pengine nafasi ambayo wanaweza kuifikia ni kicheza play-off kwani Mtibwa Sugar inayoshika nafasi ya 12 ambayo ni juu ya play-off ina alama 29 alama ambazo Ruvu Shooting wanaweza kuzifikia kama watashinda mechi zao zilizobaki

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’