International,Normal News,Arsenal

Mkurugenzi wa Michezo Arsenal abwaga manyanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
4 Nov 2024
Mkurugenzi wa Michezo Arsenal abwaga manyanga

Mkurugenzi wa michezo wa Arsenal Edu amechukua uamuzi wa kuondoka katika klabu hiyo mara moja

Edu amekuwa nchini Brazil kwa masuala ya kibinafsi na alirejea Uingereza mwishoni mwa wiki iliyopita

Kulingana na Sky Sports News, Mbrazil huyo amekuwa akihusishwa kujiunga na kundi la vilabu vya Evangelos Marinakis

Evangelos Marinakis kwa sasa inajumuisha klabu za Nottingham Forest, Olympiacos na Rio Ave

Hata hivyo bado haijulikani ikiwa hiyo ndiyo sababu iliyopelekea Edu ajiuzulu ghafla

Edu (42) ana uhusiano mkubwa na mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta, ambaye ameijenga upya Arsenal ambaye kwa pamoja wameshirikiana kuijenga upya Arsenal na kuirejesha katika mbio za kuwania taji la ligi kuu ya Uingereza

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
31m ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
4h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
4h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
5h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
6h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
6h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
7h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
7h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
21h ago
READ MORE β†’