Local,Normal News,Yanga, Singida

Singida BS yazindua uwanja, mvua yatibua

Joel JJ By Joel JJ
β€’
25 Mar 2025
Singida BS yazindua uwanja, mvua yatibua

Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani Singida jana zilitibua mchezo wa kirafiki kati ya Singida BS dhidi ya Yanga uliokuwa ukiendelea katika uwanja wa Airtel

Mchezo huo ulikuwa maalum kuadhimisha uzinduzi wa uwanja huo ambapo Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh Hamis Mwinjuma alizindua mapema

Dakika tano tu baada ya kuanza kipindi cha pili, Mwamuzi wa mchezo huo Saadi Mrope alilazimika kusimamisha mchezo baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kunyesha

Jonathan Ikangalombo aliitanguliza Yanga kwa bao safi mapema katika kipindi cha kwanza lakini mpira wa faulo uliopigwa na Mauruf Tchakei dakika ya 50 katika kipindi cha pili ulisindikizwa kimiani na upepo na kuisawazishia Singida BS

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
3m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
32m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’