Klabu ya Simba SC imewasili salama visiwani Zanzibar ikiwa na azma ya kutwaa taji lao la kwanza la Kombe la Shirikisho barani Afrika, watakapokipiga dhidi ya RS Berkane ya Morocco katika mchezo wa mkondo wa pili wa fainali utakaofanyika Jumapili, Mei 25, kwenye dimba la New Amaan Complex.
Kikosi kizima kilichosajiliwa msimu huu kilikuwa sehemu ya..... download Xtra 90 App



