Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, ametoa zawadi maalum kwa timu ya Simba kwa kugharamia matumizi ya Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja utakaotumika kwa mechi ya fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho la Afrika, itakayofanyika Jumapili, Mei 25, 2025 kuanzia saa 10 jioni.
Hayo yameelezwa kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Naibu..... download Xtra 90 App



