Local,Transfer News,Simba, Chiefs

Kaizer Chiefs yagonga mwamba kwa Kibu Denis

Joel JJ By Joel JJ
β€’
3 Jun 2025
Kaizer Chiefs yagonga mwamba kwa Kibu Denis

Klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini, imekuwa ikihusishwa na nyota wawili wa Simba Kibu Denis na Jean Charles Ahoua

Hivi karibuni Kocha Mkuu wa timu hiyo Nasreddine Nabi alikuwa Tanzania ambapo alishuhudia mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Singida Black Stars uliopigwa uwanja wa KMC Complex Simba ikiibuka na ushindi wa bao 1-0

Inaelezwa Nabi alikuja nchini kwa lengo maalum la kuwafuatilia nyota hao ambapo Chiefs wameshawasilisha yao ya kwanza kwa ajili ya Kibu lakini imekataliwa na Simba

Ofa iliyokataliwa na Simba inakadiriwa kuwa zaidi ya Tsh Milioni 500 taarifa za ndani zikibainisha kuwa Simba haina mpango wa kumuachia Kibu (24) katika dirisha hili

Bado Chief haijawasilisha ofa yoyote kwa ajili ya Ahoua ingawa yawezekana miamba hao wa soka la Afrika Kusini watajaribu kumsajili

Kibu alisaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Simba mwanzoni mwa msimu huu hivyo bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Wekundu hao wa Msimbazi huku Ahoua akiwa bado na mkataba wa miaka miwili

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’