Klabu ya Yanga SC imemtangaza rasmi Kocha Mkuu mpya, Romain Folz, raia wa Ufaransa, akichukua nafasi ya Miloud Hamdi ambaye aliondoka kwenda kuinoa Ismailia ya Misri.
Kocha Folz, mwenye umri wa miaka 35, ni jina linalofahamika kwenye soka la Afrika baada ya kupitia klabu na timu kadhaa, ikiwa ni pamoja na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ambako aliwahi kuwa kocha msaidizi. Pia amewahi..... download Xtra 90 App



