Baada ya kutua Eswatini jana, kikosi cha Simba leo kitaanza maandalizi yake nchini humo kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL) dhidi ya Nsingizini Hotspurs
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa keshokutwa Jumapili, Oktoba 19 nchini humo
Meneja Mkuu wa Dimitar Pantev atakuwa na siku mbili za..... download Xtra 90 App



