Chikola kutua Singida BS kwa mkopo

Joel JJ By Joel JJ β€’ 27th January 2026

Chikola kutua Singida BS kwa mkopo

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Offen Chikola anatarajiwa kujiunga na klabu ya Singida Black Stars kwa mkopo.

Baada ya mwanzo wa kusuasua kwenye kikosi cha Yanga, nyota huyo ametolewa kwa mkopo ili apate muda zaidi wa kucheza.

Anakuwa mchezaji wa pili wa ndani kutolewa kwa mkopo na Yanga kwenye dirisha hili baada ya Denis Nkane aliyetua TRA United.

Nyota wa kigeni ambao nao..... download Xtra 90 App

More Stories

Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Today, READ MORE β†’
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Today, READ MORE β†’
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Today, READ MORE β†’
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Today, READ MORE β†’
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Yesterday, READ MORE β†’
Polisi Tanzania yanasa wino wa Beno Kakolanya msimu ujao
Polisi Tanzania yanasa wino wa Beno Kakolanya msimu ujao
Yesterday, READ MORE β†’
TFF yatoa onyo kwa klabu zisizofanya usajili FIFA Connect
TFF yatoa onyo kwa klabu zisizofanya usajili FIFA Connect
Yesterday, READ MORE β†’
Yanga Yaifunga Magereza Dar Es Salaam 7-2 Mechi ya Kirafiki
Yanga Yaifunga Magereza Dar Es Salaam 7-2 Mechi ya Kirafiki
Yesterday, READ MORE β†’
Fei Toto ajumuishwa kikosi cha Azam Fc pre-season Rwanda
Fei Toto ajumuishwa kikosi cha Azam Fc pre-season Rwanda
Yesterday, READ MORE β†’
Ngao ya Jamii 2026 Kupigwa Amaan Complex Zanzibar
Ngao ya Jamii 2026 Kupigwa Amaan Complex Zanzibar
Yesterday, READ MORE β†’