Azam FC leo Jumamosi, Februari 7, 2026, itashuka dimbani kuivaa Maniema Union ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) katika mchezo wa raundi ya tano ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). Pambano hilo litapigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Mchezo huo ni wa Kundi B na unatajwa kuwa wa maamuzi kwa Azam katika harakati zao za kusaka..... download Xtra 90 App



