Shirikisho la Soka la Senegal limetoa taarifa kufuatia Morocco kupewa ushindi wa 3-0 ukiwa ni ushindi wa mezani katika fainali ya AFCON 2025, likidai kuwa uamuzi huo “unadhalilisha soka la Afrika”, na kwamba watawasilisha rufaa mara moja katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS).
Shirikisho hilo (FS) linathibitisha tena dhamira yake kwa maadili ya uadilifu na haki ya michezo, na itaendelea kuujulisha umma kuhusu muendelezo wa suala hili.



