SENEGAL WAPINGA UAMUZI WA AFCON 2025, WATAKA RUFAA CAS BAADA YA MOROCCO KUPEWA USHINDI WA MEZANI.

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media β€’ 18th March 2026


SENEGAL WAPINGA UAMUZI WA AFCON 2025, WATAKA RUFAA CAS BAADA YA MOROCCO KUPEWA USHINDI WA MEZANI.

Shirikisho la Soka la Senegal limetoa taarifa kufuatia Morocco kupewa ushindi wa 3-0 ukiwa ni ushindi wa mezani katika fainali ya AFCON 2025, likidai kuwa uamuzi huo “unadhalilisha soka la Afrika”, na kwamba watawasilisha rufaa mara moja katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS).

Shirikisho hilo (FS) linathibitisha tena dhamira yake kwa maadili ya uadilifu na haki ya michezo, na itaendelea kuujulisha umma kuhusu muendelezo wa suala hili.


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.