Klabu ya Azam FC imeendelea kuimarisha kikosi chake baada ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Uganda, Hassan Mubiru, akitokea SC Villa kwa mkataba wa miaka miwili.
Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na vyanzo vya karibu na klabu hiyo ya Chamazi, Azam FC imefanikiwa kumuwahi mshambuliaji huyo baada ya kumalizana naye rasmi na kumfanya kuwa sehemu ya kikosi kuelekea msimu..... download Xtra 90 App



