Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC, wamerejea kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha.
Ushindi huo umeendelea kuonyesha ubora wa kikosi hicho katika mbio za kutetea ubingwa wao wa ligi, huku ukiwarejesha juu ya msimamo baada ya kuwa nyuma ya watani wao..... download Xtra 90 App



