Ivory Coast yapoteza dhidi ya Ujerumani dakika za jioni

Joel JJ By Joel JJ • 21st June 2026

Ivory Coast yapoteza dhidi ya Ujerumani dakika za jioni

Timu ya taifa ya Ivory Coast imepoteza kwa maumivu makali mabao 2-1 dhidi ya Germany katika mechi ya Kundi E ya Kombe la Dunia 2026 iliyochezwa Toronto, Canada.

Ivory Coast ilianza vizuri na kufungua ukurasa wa mabao dakika ya 30 kupitia nahodha wake, Franck Kessié, baada ya shambulizi la haraka lililoongozwa na kijana mwenye kasi Yan Diomande. Bao hilo liliwapa matumaini makubwa "Tembo"..... download Xtra 90 App

More Stories

Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Today, READ MORE →
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
Today, READ MORE →
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Today, READ MORE →
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Today, READ MORE →
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Today, READ MORE →
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Today, READ MORE →
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Today, READ MORE →
Neo Maema arejea Simba kwa mkopo wa mwaka mmoja
Neo Maema arejea Simba kwa mkopo wa mwaka mmoja
Today, READ MORE →
Simba kumrejesha Maema kwa mkopo
Simba kumrejesha Maema kwa mkopo
Today, READ MORE →
Moises Caicedo atuma ujumbe mzito kwa mashabiki, Akimsihi Enzo abaki Chelsea.
Moises Caicedo atuma ujumbe mzito kwa mashabiki, Akimsihi Enzo abaki Chelsea.
Today, READ MORE →