Yanga Yaichapa Azam FC 3-0, Yaendelea Kuongoza Mbio za Ubingwa.

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media β€’ 24th June 2026

Yanga Yaichapa Azam FC 3-0, Yaendelea Kuongoza Mbio za Ubingwa.

Young Africans (Yanga) imepata ushindi mkubwa wa mabao 3-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, na kujiimarisha zaidi katika mbio za kuwania ubingwa wa msimu huu.

Baada ya kipindi cha kwanza kuwa na ushindani mkubwa, Yanga ilifanikiwa kuvunja ukimya dakika ya 41 kupitia Ibrahim Bacca aliyefunga bao la kuongoza na kuipeleka timu yake mapumzikoni ikiwa mbele kwa bao..... download Xtra 90 App

More Stories

Polisi Fc Kenya yatibua furaha Simba Day, yaichapa Simba 1-0
Polisi Fc Kenya yatibua furaha Simba Day, yaichapa Simba 1-0
Today, READ MORE β†’
Suleiman Mwalimu arejea Simba, atambulishwa Simba Day
Suleiman Mwalimu arejea Simba, atambulishwa Simba Day
Today, READ MORE β†’
Baba mzazi wa Lionel Messi, Jorge Messi afariki dunia
Baba mzazi wa Lionel Messi, Jorge Messi afariki dunia
Today, READ MORE β†’
Mosimane kuinoa Bafana Bafana
Mosimane kuinoa Bafana Bafana
Today, READ MORE β†’
TFF yatangaza viingilio Ngao ya jamii Zanzibar
TFF yatangaza viingilio Ngao ya jamii Zanzibar
Today, READ MORE β†’
Simba Day yaanza kwa kishindo, Mashabiki waitika Uwanja wa Uhuru
Simba Day yaanza kwa kishindo, Mashabiki waitika Uwanja wa Uhuru
Today, READ MORE β†’
Sundowns kustaafisha jezi ya Jayden Adams
Sundowns kustaafisha jezi ya Jayden Adams
Today, READ MORE β†’
Rodri kutua Barcelona ni suala la muda
Rodri kutua Barcelona ni suala la muda
Today, READ MORE β†’
SIMBA DAY 2026: Sherehe za Miaka 90 ya Simba Sc dimba la Uhuru
SIMBA DAY 2026: Sherehe za Miaka 90 ya Simba Sc dimba la Uhuru
Today, READ MORE β†’
Rayon Sports watawazwa kuwa mabingwa wa CECAFA Kagame Cup 2026
Rayon Sports watawazwa kuwa mabingwa wa CECAFA Kagame Cup 2026
Yesterday, READ MORE β†’