Vyanzo vya kuaminika vinaeleza kuwa klabu ya Yanga SC imeanza mazungumzo ya awali na aliyekuwa kocha wa Raja Casablanca, Fadlu Davids, kuhusu uwezekano wa kuchukua nafasi ya ukocha mkuu wa mabingwa hao wa kihistoria.
Taarifa hizo zinaeleza kuwa uongozi wa Yanga umemvutia sana kocha huyo raia wa Afrika Kusini kutokana na rekodi yake ya mafanikio katika klabu mbalimbali barani Afrika,..... download Xtra 90 App



