Ligi Kuu ya NBC inahitimishwa kesho Jumanne kwa timu zote 16 kushuka viwanjani kucheza mechi za mwisho wa msimu.
Ukiacha vita ya Yanga na Simba kwenye ubingwa na vita ya chini ya msimamo wa ligi, kuna hii vita ya kuwania ufungaji bora.
Feisal Salum wa Azam Fc, Allan Okello wa Yanga na Ndumumwe Mossi wa Singida BS wanachuana vikali kuwania kiatu cha ufungaji bora.





