Klabu ya Dodoma Jiji FC imetangaza kuwa itazindua rasmi jezi zake mpya leo katika Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam, kabla ya mchezo wao wa mwisho wa msimu wa Ligi Kuu dhidi ya Azam FC. Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika sambamba na mchezo huo, ambao utakutanisha timu hizo kuanzia saa 10:00 jioni.
Hatua hiyo inaifanya Dodoma Jiji kuwa miongoni mwa klabu chache nchini kuchagua..... download Xtra 90 App



