Liverpool imekamilisha rasmi usajili wa beki wa kati Jérémy Jacquet kutoka Stade Rennais kwa mkataba wa muda mrefu, huku dili hilo likitajwa kuwa na thamani ya pauni milioni 55 pamoja na pauni milioni tano za nyongeza kulingana na mafanikio ya mchezaji na klabu.
Usajili huo umeanza kutumika rasmi Julai 1, ingawa bado unasubiri kukamilika kwa taratibu za kibali cha kazi na uidhinishaji..... download Xtra 90 App



