Klabu ya JKT Tanzania imemuongeza mkataba wa miaka miwili kocha wake mkuu Ahmed Ally. Baada ya kuwaongoza maafande hao msimu uliomalizika kumaliza nafasi ya 6, mabosi wa JKT Tanzania wameridhika na kazi yake na sasa wamemkabidhi timu hadi mwaka 2028.
JKT Tanzania ni moja ya timu zilizokuwa tishio msimu uliomalizika ikifanikiwa kushinda mechi 10, sare 12 na kutoka sare mechi nane..... download Xtra 90 App



