Nahodha wa Algeria, Riyad Mahrez, ametangaza kustaafu rasmi soka la kimataifa baada ya timu yake kuaga Kombe la Dunia 2026 kufuatia kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Uswisi katika hatua ya 32 Bora. Matokeo hayo yaliihakikishia Uswisi tiketi ya kutinga hatua ya 16 Bora, huku yakihitimisha safari ya Algeria kwenye mashindano hayo.
Katika mchezo huo uliochezwa jijini Vancouver, Breel Embolo..... download Xtra 90 App



