Mmiliki wa Azam FC, Jamal Bakhresa, ameripotiwa kueleza kutoridhishwa kwake na namna mamlaka za soka nchini zinavyoendesha baadhi ya masuala yanayohusu klabu yake, akidai kuwa kuna hali ambayo inaifanya Azam FC kuhisi kutotendewa haki.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Bakhresa amesema endapo Azam FC itaendelea kuona haithaminiwi ndani ya mfumo wa soka la Tanzania, klabu hiyo inaweza kufikiria..... download Xtra 90 App



