Local,Transfer News,Yanga, Gent, Fountain Gate

Yanga yaipiku Gent ya Ubelgiji , Yamnasa kinda Fountain Gate

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said
β€’
9 Jul 2026
Yanga yaipiku Gent ya Ubelgiji , Yamnasa kinda Fountain Gate

Klabu ya Yanga imekamilisha usajiri wa kijana Juma Abushiri 18 kutokea Fountain Gate , ambae Inaelezwa kuwa kinda huyo alikuwa mbioni kujiunga na miamba ya soka nchini Ubelgiji , KAA Gent .

Taarifa kutokea kwa mabingwa hao wa Twiga na jangwani wamekamilisha usajiri huo wenye thamani ya Tsh milioni 90 huku wakilipa milioni 100 kwa Fountain Gate ikiwa ni sehemu ya kuvunja mkataba wa miaka mitano wa kijana huyo .

Licha ya yanga kutotoa taarifa kamili inaelezwa kuwa tayari Abushiri amesaini mkataba wa miaka mitatu na timu hiyo hii Leo jijini Arusha .

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
2h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
6h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
7h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
9h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
12h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
12h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
12h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
18h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’