Aliyekuwa golikipa wa Yanga Sc Clause Kindoki afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media β€’ 12th July 2026

Aliyekuwa golikipa wa Yanga Sc Clause Kindoki afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Tasnia ya soka imepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha aliyekuwa kipa wa Yanga SC, Clause Kindoki, ambaye amefariki dunia jana, Julai 11, 2026, kufuatia ajali mbaya ya bodaboda iliyotokea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo).

Kwa mujibu wa aliyekuwa meneja wa mshambuliaji Fiston Mayele, Nestor Mutuale, Kindoki alipata ajali hiyo saa chache baada ya kumalizika kwa mchezo..... download Xtra 90 App

More Stories

Stanley Nwabali amerejea rasmi Chippa United, jambo lililozima matumaini ya Simba SC kumpata.

Today, READ MORE β†’
Aliyekuwa golikipa wa Yanga Sc Clause Kindoki afariki dunia kwa ajali ya pikipiki
Aliyekuwa golikipa wa Yanga Sc Clause Kindoki afariki dunia kwa ajali ya pikipiki
Today, READ MORE β†’
Senegal yamfuta kazi Pape Thiaw baada ya kuboronga Kombe la Dunia

Simba yashusha beki kutoka Ivory Coast
Simba yashusha beki kutoka Ivory Coast
Today, READ MORE β†’
Singida BS yamnasa Tegisi
Singida BS yamnasa Tegisi
Today, READ MORE β†’
Dakika 120 za kibabe zaipeleka Argentina nusu fainali ya Kombe la Dunia

Uingereza yatinga nusu fainali kombe la Dunia, yaichapa Norway 2-1

Nyota wa Mamelodi Sundowns na Bafana Bafana, Jayden Adams Afariki Dunia

Yesterday, READ MORE β†’
Ni Uingereza au Norway kufuzu nusu fainali kombe la Dunia?

Messi na kijiji chake wana kazi mbele ya Uswisi Alfajiri ya Jumapili