Aliyekuwa kiungo mahiri wa Yanga SC, Mahlatse Skudu Makudubela “Waziri wa Raha”, ametangaza rasmi kustaafu soka la kulipwa, akihitimisha safari ya miaka 17 iliyosheheni mafanikio, mataji na kumbukumbu nyingi ndani na nje ya bara la Afrika.
Nyota huyo wa Afrika Kusini amewahi kuzitumikia klabu kadhaa zenye heshima kubwa zikiwemo Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Chippa United, Young..... download Xtra 90 App



