Afisa habari wa Yanga Ally Shaban kamwe amethibisha kuwa Timu hiyo bado haijakamilisha zoezi la usajili kwa wachezaji wa Kimataifa akisema kuwa Timu hiyo itaongeza wachezaji wawili katika dirisha ili.
Ally Kamwe amesema hayo hii Leo wakati akizungumza na Wana habari kuelekea katika kilele Cha wananchi ambacho kinatarajiwa kufunguliwa mwanzo wa mwezi Ujao na kutamatika Agosti 9 mwaka huu..... download Xtra 90 App



