Uwanja ndio sababu hatufungi magoli mengi : Steve Berker Kocha wa Simba

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said
β€’
1 Sep 2026
Uwanja ndio sababu hatufungi magoli mengi : Steve Berker Kocha wa Simba

Kocha Mkuu wa Simba Steve Berker ameweka wazi kutorudhishwa na uwanja wa Meja jenerali Isamuhyo akisema uwanja huo umekuwa changamoto kubwa kwa Timu yake katika kutengeneza na kufunga mabao mengi .

Berker amesema hayo apo Jana baada ya mchezo dhidi Geita Gold ambapo timu ya Simba iliibuka na Ushindi wa mabao mawili kwa sifuri, kupitia kwa viungo washambuliaji Cletous Chama na Libasse Gueye

Simba ambayo ilitangaza karibuni kufanya uwanja huo kuwa uwanja wake wa nyumbani tayari imekwisha cheza michezo miwili huku ikifunga jumla ya mabao matatu katika michezo hiyo

ADVERTISE HERE

More Stories

Ally Kamwe aeleza kuhusu hali ya goli kipa Diarra kuelekea CAFCL
Ally Kamwe aeleza kuhusu hali ya goli kipa Diarra kuelekea CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Ally Kamwe afunguka maandalizi ya Yanga kuelekea mchezo dhidi ya CFFA FC
Ally Kamwe afunguka maandalizi ya Yanga kuelekea mchezo dhidi ya CFFA FC
1h ago
READ MORE β†’
Infantino aomba radhi kwa utata wa haki za kibiashara FIFA
Infantino aomba radhi kwa utata wa haki za kibiashara FIFA
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yasaka rekodi ya kibabe ligi ya mabingwa
Yanga yasaka rekodi ya kibabe ligi ya mabingwa
1h ago
READ MORE β†’
Kane kuongeza mkataba Bayern Munich hadi 2029
Kane kuongeza mkataba Bayern Munich hadi 2029
2h ago
READ MORE β†’
Reece James afanyiwa upasuaji wa goti
Reece James afanyiwa upasuaji wa goti
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate kurudi Tanzanite Kwaraa, Polisi Tanzania kurejea Ushirika
Fountain Gate kurudi Tanzanite Kwaraa, Polisi Tanzania kurejea Ushirika
6h ago
READ MORE β†’
Beno Kakolanya afunguka sakata la madai ya wachezaji Yanga
Beno Kakolanya afunguka sakata la madai ya wachezaji Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Azam Fc dimbani Misri kusaka tiketi ya makundi CAFCC
Azam Fc dimbani Misri kusaka tiketi ya makundi CAFCC
7h ago
READ MORE β†’
Didier Drogba kutua Tanzania kuelekea maandalizi ya AFCON 2027
Didier Drogba kutua Tanzania kuelekea maandalizi ya AFCON 2027
7h ago
READ MORE β†’